Pages

Wednesday, December 19, 2012

"MY WIFE" NI NGOMA MPYA YA MSHINDI WA TATU WA EPIQ BONGO STARSEARCH 'WABABA'

 
Mshindi wa tatu wa mashindano ya Epiq Bongo Star Search "EBSS" Wababa ameachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la 'My Wife', wimbo huo umetungwa na Ally Nipishe wa THT.
  
MY WIFE imeandaliwa na The Hit Maker E.M.A The Boy katika studio za Surround Sound (Triple S. Music).

0 maoni:

Post a Comment

Labels