Pages

Tuesday, December 18, 2012

Meek Mill Aponda Wimbo Mpya Wa Cassidy

 Rapper kutoka kundi la MayBack Music Group [MMG] , Meek Mill ambae anatamba na ngoma kali kama I'm A Boss, Burn na Ameen n.k. ambazo zinafanya jina lake liwe juu kwa sasa, ameiponda sana ngoma mpya ya rapper Cassidy na kuonesha kuwa hajaikubali kabisa track hiyo inayojulikana kama Condom Style aliyoichia jumamosi ya wiki iliyopita. Meek aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa huo ni wimbo mbovu kupita maelezo katika historia ya muziki wa rap. Hahah... Seemz like Meek is bringing it on na Cassidy... Lets wait more for this...

0 maoni:

Post a Comment

Labels