Pages

Wednesday, December 12, 2012

Rihanna Azinguana Tena Na Chris Breezy

Mwanadada Diva Rihanna ameonekana akitweet maneno makali kupitia ukurasa wake wa Twitter, tweet hizo zikionekana zikimlenga aliekuwa Mpenzi wake Star Chris Brown ambapo ilionekana wakati ChrisParis Nchini Ufaransa ambako alienda kufanya Show alionekana na aliekuwa mchumba wake wa zamani mwanadada Karrueche Tran ambaye alionekana kuwa sambamba na Chris Brown wakati yupo nchini humo. 

Rihanna alikasirishwa sana na kitendo hicho kwasababu sio mda mrefu tangu walipo rudiana katika mahusiano yao ya kimapenzi. 

Chini ni baadhi ya Tweets za Rihanna alizo zipost... yupo

0 maoni:

Post a Comment

Labels