Pages

Friday, December 07, 2012

SHOW YA CHRIS BROWN NCHINI KENYA IMEHAIRISHWA


Wakenya wengi walikuwa katika shauku ya kutaka kumuona live Superstar Chris Brown as he was to perform a big show katika nchi hiyo siku ya Tarehe 14 mwezi huu. 

Tofauti na ilivyotegemewa, sasa Chris hatoweza tena kupiga show hiyo nchini Kenya mwezi huu kwa kile kinachotazamiwa kwamba ratiba yake imejaa kwa mwezi wote huu wa December.

According to Spartan Group ambayo ndio kampuni na promoters waliondaa hiyo show hiyo, wamesema kuwa, kwa mwezi huu ratiba ya msanii huyo mkubwa kutoka America ya kupiga shows Africa imebaki kuwa katika nchi ya South Africa na Uganda tu, na kwamba show hiyo ya Kenya haitakuwepo tena kwa mwezi huu na wamejiandaa kuifanya mwaka ujao ambapo itakuwa mwanzoni kabisa mwa mwaka 2013.

0 maoni:

Post a Comment

Labels