Pages

Thursday, December 06, 2012

HUU NI UJIO MPYA WA JAY MOE FTN OMMY DIMPOZ


Msanii wa Bongo Flava [especially hip-hop ya kibongo] ambae alikuwa kimya kidogo kwenye game, Juma Mchopanga akifahamika kama Jay Moe au Mo' Techniques sasa amerudi tena. 

Jay Moe ambae ametamba sana katika game hii na kuangusha ngoma nyingi tu kama Mvua Na Jua, Kimya Kimya, Bishoo, Kama Unataka Demu, Trapped na nyingine nyingi tu ambazo bado zimebaki kuwa classic, ana-record ngoma yake mpya ambayo atamshirikisha Ommy Dimpoz

YEAAAHH!! Mzee wa Baadae na Me N' You ambapo mzigo mzima unasukwa kitaa cha Bongo Records na Producer Kinywele Kimoja a.k.a P-Funk.  

Majani as in many of us know him, amefanya "Classic" nyingi na Moe inafika kipindi you wont doubt these dudes in the studio together. 

Tukae mkao tukisubiria hii, mimi na wewe... Am sure its gonna be another hit... Stay with us!!!

0 maoni:

Post a Comment

Labels